Baada ya msanii Nandy kuja vizuri na ngoma yake ya kivuruge na ngoma hio kuonekana kufanya vizuri sana mtaani na katika vichwa vya mashabiki leo hii KIMOKA & MASAUTI wametufikishia cover yake yenye maujuzi na utamu zaidi. Unaweza kuisikiliza hapa na kisha ukatoa comment yako.
Download
Download
KIMOKA & MASAUTI_KIVURUGE COVER
Reviewed by DjGeric
on
January 23, 2018
Rating:

No comments: