Kuanzia sasa hivi,
karibu wewe mdau wa elimu hasa mwalimu au mzazi katika kipengele chetu kipya
kabisa kama mwalimu Gerald.
Sehemu hii tutakuwa tukikuletea mambo yote muhimu
katika swala zima la ufundishaji unaomlenga wanafunzi. Hapa utakutana na mambo kama
uandaaji wa somo,upimaji wa wanafunzi juu ya uwezo wao katika masomo tofauti,
kudhibiti tabia mbaya za wanafunzi pamoja na mazingira rafiki kwa mwanafunzi
kujifunza.
Na vyote hivi vitakuwa
katika mfumo wa video, sauti na picha
mwalimu Gerald
Reviewed by GericFM
on
June 21, 2017
Rating:

No comments: