Shuleni kuna muunganiko wa vitu vingi ili kuwezesha ufundishaji na ufundishwaji kuendelea vizuri na kuleta mafanikio. Miongoni mwa vitu hivyo ni pamoja na:
- lugha ya mwalimu kwa wanafunzi
- mpangilio wa darasa
- uandaaji wa somo
- maelekezo sahihi ya mwalimu kwa wanafunzi
- ushiriki wa wanafunzi
- upimaji wa wanafunzi kwenye masomo yaani assessment.
- matumizi ya zana za ufundishaji. Hivi ni baadhi ya hivyo ila kuna mambo mengi tunaandaa hivyo kaa karibu na sisi yote utayapata hapa kwa maendeleo ya walimu na wanafunzi.
Tuanze na utangulizi
Reviewed by DjGeric
on
June 25, 2017
Rating:
No comments: