Usinunue wala kutumia chaja za simu za bei ndogo maana hizi hazina uimara wa kukabiriana na umeme pindi unapotokea mshutuko.
Usichaji simu yako kwenye pc au Radio zenye sehemu ya USB ingawaje huwa zinaingiliana.
TUNZA BETRI: MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI UNACHAJI SMARTPHONE YAKO
Reviewed by DjGeric
on
November 25, 2017
Rating:
No comments: