Geric FM

Wahu kaja na "SIFA" Baaada ya kuachana na muziki wa dunia na kugeukia injiri

Msanii wa mziki kutoka kenye aliyewahi kutamba na kali kama vile:
Sweet love, Liar,Running low na zingine nyingi hivi karibuni alitangaza kuachana na mziki wa dunia na kuanza kuimba mziki wa injiri na hivi leo ametufikishia hii hapa inayokwenda kwa jina la sifa


Wahu kaja na "SIFA" Baaada ya kuachana na muziki wa dunia na kugeukia injiri Wahu kaja na  "SIFA" Baaada ya kuachana na muziki wa dunia na kugeukia injiri Reviewed by GericFM on November 22, 2017 Rating: 5

No comments:

Vistros

Powered by Blogger.