MAKAMU wa Rais dkt Samia Suluhu,tofauti na kuiagiza bodi ya ununuzi na ugavi nchini,PSPTB kuchukua hatua kali kwa taasisi za umma na binafsi zinazoendelea kuajiri watumishi wa ununuzi na ugavi ambao hawajasajiliwa na bodi hiyo vile vile hajaacha kutoa onyo pia kwa wataalamu wa ununuzi na ugavi wanaoendekeza vitendo viovu kama rushwa ,upendeleo,wizi na uzembe waache mara moja kwani hatua kali zitachukuliwa kwa yoyote atakayekwenda kinyume na maadili ya kazi yao.
Msikilize hapa>>>
Makamu wa Rais Samia Suluhu :TUTUMIE PESA CHACHE KUFANYA MAMBO MAKUBWA
Reviewed by
DjGeric
on
December 04, 2017
Rating:
5
No comments: