Geric FM

Beka Flavour: Sarafina (Latest official video)

Image result for sarafina beka flavour 
katufikishia hii hapa leo baada ya libebe, caro, tuwesare na sikinai tangu atoke kwenye kundi la Yamoto. Hawa jamaa wame au wanataka kuuaminisha umma kuwa walikuwa wanabwana kuwa "Yamoto band" Tangu kuvunjika kwa kundi hilo wasanii (Aslay na Beka Flavour) wamekuwa wakitoa nyimbo kila kukicha hasa Aslay jambo ambalo halikuwa hivyo pindi wako kwenye kundi. Tanzama hapa video mpya kutoka kwa Beka Flavour
Beka Flavour: Sarafina (Latest official video) Beka Flavour: Sarafina (Latest official video) Reviewed by DjGeric on November 25, 2017 Rating: 5

No comments:

Vistros

Powered by Blogger.