Geric FM

KUMBE MAGUFULI ALIMUOMBA KAFULILA KUHAMIA CCM

Mh. Kafulila amabaye jana alitangaza kuhama chama cha CHADEMA leo imedhibitika kuwa kajiunga na CCM rasimi. Ingawaje kume kuwa na maneno yaliyoashiria kuwa Mh. Raisi Magufuli alimuomba Kafulila kuhamia CCM baada ya kauli yake ya kumuuliza Kafulila kuwa yuko chama gani wakati serikali inahitaji wazalendo kama yeye japo kauli hii aliitoa baada ya kumsifia kwa namna alivyoibua swala la Escrow. msikilize hapa:

KUMBE MAGUFULI ALIMUOMBA KAFULILA KUHAMIA CCM KUMBE MAGUFULI ALIMUOMBA KAFULILA KUHAMIA CCM Reviewed by GericFM on November 24, 2017 Rating: 5

No comments:

Vistros

Powered by Blogger.