Mkali wa RnB Bongo "Jux" kesho jumamosi 25 November anakabiriwa na mtihani mzito wa kurudisha nafasi yake kwa Vanessa ambaye inasemekana waliachana ila jux alionesha bado kumuhitaji mwanadada huyo kisha kupewa nafasi ya kumshawishi kwa kutumbuiza dakika 15 siku ya kuhitimisha msimu wa fiesta jijini Dar es salaam jambo ambalo litamfanya Vanessa kumrudia Jux endapo ataridhika. Sikiliza wakati Jux akipewa mtihani huo↴↴
Jux-Kufanya mtihani wa dakika 15 kesho
Reviewed by GericFM
on
November 24, 2017
Rating:

No comments: