Geric FM

Unamiliki Samsung Galaxy S6?. Android 8.0 Oreo hii hapa kwa ajili yako

Image result for Samsung Galaxy S6Samsung Galaxy S6 toleo la mwaka 2015 inaweza kuonekana kama sio muda mrefu imetoka na watu bado wanaitumia vizuri tu ila kwa upande wa kupanda ubora wa software zake ndo kuna shida. 
ilipotoka ilikuwa inaweza kutumia Android 5.0 Lollipop ya mwaka 2014 tangu mwaka huo hadi leo google wameshatoa matoleo matatu ya Android ambayo pia hawakuamini kama yangeifaa hadi kufikia mwaka huu japo toleo la mwisho la mwaka jana Android 7.0 Nougat. limeweza kuendelea kufanya kazi katika simu hio ingawaje sio kwa kiwango bora hivyo wapo njiani kuleta Android 8.0 Oreo kwa ajili ya kuipa uwezo mkubwa simu hio. soma zaidi...>>>>http://www.trustedreviews.com/news/samsung-galaxy-s6-android-oreo-update-334307


Unamiliki Samsung Galaxy S6?. Android 8.0 Oreo hii hapa kwa ajili yako Unamiliki Samsung Galaxy S6?. Android 8.0 Oreo hii hapa kwa ajili yako Reviewed by DjGeric on November 25, 2017 Rating: 5

No comments:

Vistros

Powered by Blogger.