Geric FM

Unywaji wa kahawa: kisukari, kansa na magonjwa ya ini kwisha habari yake

Tafiti mpya 220 ambazo zimeshawahi kufanywa na watafiti duniani zinadhibitisha kuwa tunaweza kufurahia zaidi na zaidi kila siku kuliko tunavyfikiria. kunywa vikombe vinne vya kahawa kila siku kuna manufaa makubwa sana mwilini. Utafiti uliofanywa na mwanasayansi kutoka chuo kikuu cha Southamptom, amesisitiza faida kwa watumiaji wa  kahawa zikiwemo nafasi ndogo ya kushambuliwa na magonjwa ya kisukari, ini na aina tofauti za kansa.

Unywaji wa kahawa: kisukari, kansa na magonjwa ya ini kwisha habari yake Unywaji wa kahawa: kisukari, kansa na magonjwa ya ini kwisha habari yake Reviewed by DjGeric on November 25, 2017 Rating: 5

No comments:

Vistros

Powered by Blogger.